The Province | |
---|---|
Jina la gazeti | The Province |
Aina ya gazeti | Gazeti la kila siku |
Lilianzishwa | 1898 |
Nchi | Kanada |
Mhariri | Wayne Moriarty |
Mmiliki | Shirika la CanWest Global Communications |
Makao Makuu ya kampuni | Vancouver, BC, |
Nakala zinazosambazwa | 167,746 - Desemba 2001 |
Tovuti | http://www.theprovince.com |
The Province ni gazeti la kila siku linalochapishwa na mtindo wa gazeti la porojo. Gazeti hili huchapishwa katika eneo la British Columbia na Kundi la Pacific Newspaper, kampuni shirika ya CanWest Global Communications. Limekuwa gazeti la kila siku tangu mwaka wa 1898.
Kulingana na utafiti wa NADbank wa hivi majuzi, wasomaji wa The Province kila siku(kati ya Jumatatu na Ijumaa) ni 520,100 ,takwimu hii inalifanya kuwa gazeti linalosomwa sana katika eneo la British Columbia.Vilevile,usambazaji wa nakala katika siku sita ni nakala 167,746 kwa kila siku.